Friday, October 19, 2012

MAANDAMANO YA WAISLAMU KKOO DAR

 

Polisi wakiimarisha usalama mitaa ya kariakoo pale ambapo waislamu waliamua kuandamana kuelekea Ikiulu kudai kuachiwa kwa shekh Ponda na wenzake

mama akiwa amezimia baada ya mshtuko wa mabomu ya machozi

 
 

ukikamatwa hiki ndio kinachofataNo comments:

Post a Comment